Swali: Je, mayahudi na manaswara walioipotosha Tawraat na Injiyl wanazingatiwa kuwa ni Ahl-ul-Kitaab?
Jibu: Ndio. Mwenye kujinasibisha na manaswara basi huyo ni mnaswara na mwenye kujinasibisha na mayahudi huyo ni myahudi – mpaka pale kitaposimama Qiyaamah.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2tn3iT2
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni