Translate

Ijumaa, 15 Februari 2019

Linalomlazimu mzee ambaye aliacha kulipa madeni yake ya Ramadhaan kwa makusudi

Swali: Kuna mwanamke bibi kizee aliacha kulipa deni la Ramadhaan kwa muda mrefu pamoja na kwamba alikuwa anajua kuwa ni wajibu kwake kufanya hivo, lakini hata hivyo akaacha kulipa kwa uvivu. Hivi sasa ana maradhi ambayo hayamruhusu kuweza kufunga. Ni lipi linalomlazimu hivi sasa?

Jibu: Lililo wajibu kwake ni yeye kulisha kwa kila siku moja masikini. Kwa sababu ambalo lilikuwa ni wajibu kwake ni kulipa. Lakini ikiwa hawezi kwa kuwa na kizuizi ambacho hakitarajiwi kuondoka kutokana na utuuzima wake, ni wajibu kwake badala yake alishe kwa kila siku moja masikini.



from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2SGB98Q
via IFTTT

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...