Translate

Alhamisi, 14 Februari 2019

Kuwasifu makafiri katika maendeleo yao

Swali: Mtu kuzungumzia namna makafiri walivyoendelea kunazingatiwa ni katika kuwasaidia, jambo ambalo linachengua Uislamu wa mtu?

Jibu: Hakuzingatiwi kuwa ni katika kuchengua Uislamu. Lakini ni kuwasaidia makafiri na kuwasifu katika mambo ya dunia. Ama akiwa anawasifu katika mambo ya dini yao ni ukafiri na kuritadi. Lakini akiwasifu katika upande wa kuyapangilia mambo, kuipanga miji yao na kutilia kwao umuhimu mambo ya kidunia, haitakiwi kwake kuwasifu wala kuwatapa. Kwa sababu kunachelea kwake akawakweza. Hivyo asiwasifu makafiri.



from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2DBZ3b4
via IFTTT

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...