Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
"Baadhi ya watafutaji elimu (wanafunzi) hivi sasa (zama hizi) wana ususuavu kuliko hata Mabedui.
Hana bashasha, wala kusalimia, wala unyenyekevu.
Bali baadhi ya watu, kila anapozidi kuwa na elimu ndipo huzidi kiburi -Allaah Atukinge-.
Na Msomi (Mwenye elimu) wa kweli ni yule ambaye kila anapozidi kuwa na elimu ndipo huzidi kuwa na unyenyekevu."
[Liqaau Al-Baab Al-Maftuwh, 232]
from fisabilillaah.com http://bit.ly/2teG4yo
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni