Translate

Jumatatu, 18 Februari 2019

Hukmu ya Kumuita Mtu Maulana Wangu

Swali

Inajuzu kumwita Shaykh kwa kuachia jina ´maulama`?

Jibu

Haifai.

Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Mmoja wenu asiseme ´Ee maulana wangu fulani`. Allaah ndiye maulana Wenu.” Muslim (2249).

Vinginevyo mtumwa ni mwenye kumilikiwa. Lakini hata hivyo kwa mtumwa ambaye anamilikiwia ni sawa akasema “bwana wangu” na “maulana wangu.”

MAREJEO

Rejea Kitab Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 26-27

Na Allaah anajua zaidi



http://bit.ly/2SUV4A4 i live islam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...