Swali: Lau tutakuwepo katika nchi ambayo wanachuoni wake wanaona kuwa yule mwenye kuacha swalah sio kafiri. Mwenye kuacha swalah akifa katika nchi hii watu wanatakiwa kuacha kumuosha na kumswalia swalah ya jeneza?
Jibu: Yule ambaye anaona kuwa ni kafiri basi asimswalie. Yule asiyeonelea hivo amswalie. Hivi ndivo masuala ya tofauti yanatakiwa kufanyiwa kazi.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2UW4Hf4
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni