Swali: Adhaana sikioni mwa mtoto imesihi? Ni Sunnah?
Jibu: Ndio. Ni kitendo kimekuja katika baadhi ya Hadiyth. Lakini katika cheni za wapokezi wake kuna kitu. Amezitaja Ibn-ul-Qayyim katika “Tuhfat-ul-Waduud fiy Ahkaam-il-Uluud”. Kwa hiyo hakuna neno akiadhiniwa na akakimiwa sikioni mwake.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2IeedJ2
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni