3- Fungu la tatu: Ni yule mwenye kuwasaidia washirikina dhidi ya waislamu, ilihali si mwenye kutenzwa nguvu, kafanya hivyo kwa kutaka kwake mwenyewe pamoja na kuchukia dini ya makafiri na kutoridhika nayo, huyu bila ya shaka ni mtenda dhambi kubwa katika madhambi makubwa na kunakhofiwa juu yake kufuru.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2GyPYn7
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni