Swali: Je, kuamini mkosi wa ndege ni shirki kubwa au ndogo?
Jibu: Ni shirki ndogo. Isipokuwa ikiwa kama ataamini kuwa ndege hii au kitu hiki kinamdhuru badala ya Allaah, hapa inakuwa shirki kubwa. Lakini akiamini tu kuwa ni sababu inayopelekea katika kitu kinachochukiza, hii ni shirki ndogo.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2PFbdI0
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni