Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:
“Atakayeufungamanisha moyo wake katika yaliyoharamishwa, atakuwa mateka katika kiza cha matamanio.”
Na amesema pia:
“Moyo uliofungamana katika haramu, kila unapotilia hima kuachana nayo, ili utoke humo, (hujikuta) hurejea humo (kwenye haramu).”
[Rawdhwah Al-Muhibbiyn (597]
from Uislamu Wangu http://bit.ly/2NiaGsg
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni