Swali: Je, inajuzu kumuoa mwanamke wa kinaswara ambaye haitendei kazi dini yake wala haendi kabisa kanisani?
Jibu: Haijuzu kumuoa mwanamke wa kinaswara ambaye haitendei kazi dini yake wala haendi kanisani. Huyu sio mwanamke wa kinaswara.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2GAOCYa
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni