Swali
Je Inajuzu kumuoa mwanamke ambaye anautambua Uislamu lakini haswali?
Jibu
Hapana haijuzu kumuoa.
Huyu ni kafiri. Mwanamke mwenye kukusudia kuacha swalah ni kafiri.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Marejeo: Kitab Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (94)
from fisabilillaah.com http://bit.ly/2RLrd8E
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni