Swali: Je, mtu anapata dhambi akitupa kitu kwenye taka kilicho na utajo wa Allaah pamoja na kuzingatia kwamba hakufanya hivo kwa dharau?
Jibu: Ndio. Ikiwa karatasi hiyo iko na utajo wa Allaah akichome au akizike chini ya udongo au mchanga ulio msafi.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2LEzKIN
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni