Swali: Je, ni lazima kumweleza yule ambaye nampenda kwa ajili ya Allaah ili tuwe juu ya mimbari za nuru siku ya Qiyaamah?
Jibu: Imepokelewa katika Hadiyth ambapo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Anapompenda mtu mwingine basi amweleze.”
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2ES1ol6
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni