Swali:
Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Linapoanguka tonge la mmoja wenu, basi aliondoshe uchafu na alile na wala asimwachie shaytwaan.”At-Tirmidhiy (1862).
Nifanye nini ikiwa tonge hilo siwezi kuliondosha uchafu?
Jibu:
Naam, Ikiwa huwezi kuliondosha uchafu na limechanganyikana na uchafu, hakuna la kufanya.
Lakini hata hivyo liweke sehemu ambayo ni safi kwa ajili ya kuitukuza neema.
Marejeo : Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58)
Na Allaah anajua zaidi
from fisabilillaah.com http://bit.ly/2F0ZvTa
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni