IBAADAH
Assallaam Aleykum WarahmatulLaah Wabarakatuh
‘Ibaadah katika Uislamu, inakusanya matendo yote anayoyapenda Allaah na kuridhika nayo.
‘Ibaadah ziko aina nne:
1.‘Ibaadah za kimwili kama vile kuswali, kufunga, kuhijji, kutufu n.k.
2.‘Ibaadah za mali, kama vile kutoa zakkah, kuchinja, kutoa swadaqah n.k.
3.‘Ibaadah za Moyo kama vile khushuu katika Swala, kumnyenyekea Allaah, kumtegemea, kumuogopa, kumpenda, kumtukuza n.k. .
4.‘Ibaadah za kutamka kama vile kuomba du’aa, kuapa, kumdhukuru Allaah, n.k.
from fisabilillaah.com http://bit.ly/2RlqrTy
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni