Swali: Je, mwenye kufanya utani na dini tawbah yake haikubaliwi? Ni ipi maana ya maneno Yake (Ta´ala):
لَا تَعْتَذِرُوا قَدْ كَفَرْتُم بَعْدَ إِيمَانِكُمْ
“Msitoe udhuru; kwani mmekwishakufuru baada ya kuamini kwenu.”[1]
Jibu: Udhahiri wa Aayah ni kwamba tawbah yake haikubaliwi. Kwa ajili hiyo wanachuoni wamesema kuwa haikubaliwi tawbah ya mtu ambaye amemtukana Allaah au Mtume (Swlala Allaahu ´aalyhi wa sallam). Anatakiwa kuuawa. Tawbah yake haikubaliwi.
[1] Tamko la kisa hiki kimepokelewa Ibn Abiy Haatim (10046), Ibn Jariyr katika “Tafsiyr yake” (10/195-196). Ameipokea kwa njia ya Mawsuulah na Mursalah zinazopeana nguvu.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2Rln0ft
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni