Swali: Kuna maulamaa wanaosema kwamba kama una uaminifu na mwanachuoni na ukamuomba fatwa, basi sio katika adabu kumuomba dalili pale anapokujibu midhali umemwamini. Je, maneno haya ni sahihi?
Jibu: Ndio. Mtu asiyekuwa msomi hahitajii kuomba dalili. Kwani huyu ni mtu wa kawaida. Hata hivyo mwanachuoni ndiye anaweza kuomba dalili.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2UNahoz
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni