Swali
Okay swali langu mwezi wa ramadhani ni mwezi mtukufu kati ya miez 12
Mimi nimefunga na imebaki sekunde tatu tu kuingia wakati wa magharib na mda huo nikaingia katika ada yangu ya mwezi je nitailipa saum yangu?
Jibu
➡Naam Ama ikiwa hedhi imeanza wakati mwanamke amefunga hata ikiwa ni dakika moja basi Swawm yake haifai na itambidi ailipe siku ile.
✅Haruhusiwi kufunga wakati yuko kwenye hedhi, na akifunga basi Swawm yake haifai.
↪Rejea Fatwaa ya Imaam Ibn 'Uthaymiyn - Majaalis Shahr Ramadhwaan, Ukurasa 39.
↪Pia Rejea Fataawaa Al-Lajnah Ad-Daaimah 10/155.
Na Allaah anajua zaidi.
from fisabilillaah.com http://bit.ly/2Gd48dJ
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni