Swali
Je, imeamrishwa kufunika matunda na mambogamboga kabla ya kulala?
Jibu
Ni jambo limewekwa katika Shari´ah kufunika vyombo vya jikoni na kutaja jina la Allaah wakati wa kufanya hivo. Hivyo ndivo inavotakiwa kufanya sawa ikiwa ni kinywaji au chakula kikavukavu. Isipokuwa tu matunda na mbogamboga zilizo na maganda yake.
Swali
Ni sawa kula chakula hicho ikiwa mtu amesahau kukifunika?
Jibu
Akisahau kufunika chakula hicho basi akipeane kwa wanyama. Asikile. Akikila basi amejifanyia vibaya juu ya nafsi yake.
Rejea Kitab Fataawaa wa Rasaa-il-ush-Shaykh ´Abdur-Razzaaq ´Afiyfiy (1/228-229)
https://ift.tt/2HSnWUg i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni