Swali
Inajuzu kwa mwanamke kuomba kujivua (الخلع) kutoka kwa mume wake kwa sababu amemuoea juu yake mwanamke mwingine?
Jibu
Haijuzu kwake kufanya hivo.
Allaah amemhalalishia Mwanaume kufanya hivo(kuoa).
Allaah amemhalalishia kuoa wake wengi.
Kwa hivyo haijuzu kwake (mwanamke) kuomba kutengana pindi atapooa juu yake mwanamke mwingine.
Rejea Kitab Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (87)
https://ift.tt/2HRO0PA i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni