Mume amemwambia mkewe ukizini ndio talaqa yako baada ya muda mume kaamua kuoa mke wapili na Yule mk
Mume amemwambia mkewe ukizini ndio talaqa yako baada ya muda mume kaamua kuoa mke wapili na Yule mke wa kwanza akakereka na kumwambia mumewe ukioa ntazini kwani talaqa nnayo mikononi mwangu, mume akamwambia mkewe kua naliondoa hilo shart hata ukizini sio talaqa yako. Je inafaa hivyo alivyosema anaiondoa hio qaul? Itakua imetenguka❓
View on YouTube
Translate
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah
إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! 20 - Isti’aadhah (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah ...
-
إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! 20 - Isti’aadhah (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah ...
-
Dalili 18 zinazoashiria una ujauzito wa mtoto wa kiume Awali ya yote nitoe pongezi kwa mama K na Baba K wote popote walipo kwa kazi nzuri ...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni