Translate

Alhamisi, 27 Desemba 2018

068-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kinga Ya Kuondokewa Neema Za Allaah, Kubadilika 'Aafiyah, Adhabu Ya Ghafla...

 

Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

 

Kuomba Kinga Ya Kuondokewa Neema Za Allaah, Kubadilika 'Aafiyah,

Adhabu Ya Ghafla Na Hasira Za Allaah

 

 Alhidaaya.com

 

 

 

 اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ زَوَالِ نِعْمَتِكَ وَتَحَوُّلِ عَافِيَتِكَ وَفُجَاءَةِ نِقْمَتِكَ وَجَمِيعِ سَخَطِكَ

 

Allaahumma inniy a’uwdhu bika min-zawaali ni’matika, watahawwuli ‘aafiyatika, wafujaa-ati niqmatika, wajamiy’i   Sakhatwika.

 

Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako kuondoka na Neema Zako, na kubadilika 'Aafiyah  [afya, amani, salama, hifadhi ya kila baya.] na adhabu Yako ya ghafla na hasira Zako zote

 

[Muslim,  Abuu Daawuwd]

 

 

 



from Alhidaaya.com http://bit.ly/2s0tL8p
via IFTTT

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...