Swali: Wakati fulani naswali pembezoni mwa mtu ambaye mikononi mwake yuko na rangi za manyumba. Ni wajibu kumbainishia kwamba anatakiwa kuondosha rangi hii?
Jibu: Pasi na shaka. Rangi za manyumba zinazuia maji. Ni wajibu kwako kumnasihi aondoshe rangi hii na atawadhe ili maji yaweze kufika makuchani.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2ObwRAD
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni