Swali
Wudhuu´ wa mtu ni sahihi akiwa na mafuta mikononi mwake?
Jibu
Ndio, wudhuu´ wake ni sahihi kwa sharti mafuta haya yasiwe yanazuia maji kufika kwenye [ngozi].
Ikiwa mafuta haya ya kuganda yanazuia maji kufika, basi ni lazima kuyaondosha kwanza kabla ya kutawadha.
Rejea Kitab Majmuu´-ul-Fataawaa (11/147)
https://ift.tt/2CDHvLW i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni