Swali: Je, ni sahihi wakati mnyama atapotoka ardhini atakuwa na pete ya Sulaymaan na fimbo ya Muusa, kama jinsi hayo yalivyotajwa na Haafidhw Ibn Kathiyr (Rahimahu Allaah)?
Jibu: Yamepokelewa hayo katika Hadiyth dhaifu na hayakuthibiti.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2FL7Byu
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni