Translate

Jumatano, 27 Machi 2019

Kinachowalazimu wanaochelewesha kulipa siku zao za Ramadhaan

Swali

Mwanamke akila siku moja ya Ramadhaan na akachelewa kuilipa mpaka akaingiliwa na Ramadhaan nyingine – ni kipi kinachomlazimu hivi sasa?


Jibu

Ikiwa alichelewesha kulipa kwa sababu ya udhuru mpaka akaingiliwa na Ramadhaan ya pili hakuna kinachomlazimu isipokuwa kulipa baada ya kumaliza hiyo Ramadhaan ya pili. 

Ama ikiwa alichelewesha pasi na udhuru basi analazimika kufanya mambo mawili:
1- Kulipa. Ni lazima kwake kulipa baada ya Ramadhaan aliyomo.
2- Kulisha masikini kwa kila siku moja. Hii ni kafara kwa kule kuchelewesha.


Rejea Kitab Sharh Thalaathat-il-Usuwl (07)


https://ift.tt/2utUX0B i live islam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...