Swali
Inajuzu kwa mwanamke kufanya kazi kama keshia kwenye duka ikiwa amelazimika kufanya hivo?
Jibu
Hapana, haijuzu kwake kufanya hivo. Anatakiwa kufanya kazi tu ambazo zinahusiana na wanawake.
Hatakiwi kufanya kazi ambazo zina wanaume na wanawake.
Rejea Kitab Sharh Ighâthat-il-Lahfân (69)
https://ift.tt/2U0sBdn i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni