Swali
Mwanamke huyu anauliza kama inajuzu kwake kusafiri bila Mahram kwa ajili ya kwenda kumtembelea mama yake anayeishi katika mji wa kikafiri kwa kuzingatia ya kwamba mama yake hana mtu mwengine huko?
Jibu
Haijuzu kwake kusafiri pasi na kuwa na Mahram. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Si halali kwa mwanamke anayemuamini Allaah na siku ya Mwisho kusafiri isipokuwa awe pamoja naye Mahram.”
Rejea Kitab Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68)
Na Allaah anajua zaidi
https://ift.tt/2U57sPd i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni