Swali
Je, inafaa kwa mwanamke wa Kiislamu anayeishi nje ya nchi hii kufanya kazi kwenye mgahawa ulio na mchanganyiko kati ya wanaume na wanawake?
Jibu
Hapana HAIJUZU .
Ikiwa kuna kitengo kilichowekwa maalum kwa wanawake tu basi hakuna neno. Mwanamke Asiwahudumie wanaume.
Rejea Kitab Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68)
https://ift.tt/2uvTAOG i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni