Translate

Jumatano, 27 Machi 2019

Mwanamke anaweza kusafiri na mwanamke mwenzake?

Swali


Mwanamke anaposafiri hali ya kuwa pamoja naye yuko na mwanamke mmoja tu. Katika hali hii, Mahram anakuwa si wajibu kwake?


Jibu

Hapana Haijuzu. 

Uwajibu bado uko pale pale. Kwa kuwa Mtume Muhammad(Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anasema:
“Si Halali kwa mwanamke anayemwamini Allaah na siku ya Mwisho, kusafiri isipokuwa awe pamoja naye Mahram.”
Na makusudio ya Mahram, ni yule ambaye imeharamishwa kwake kumuoa. Na makusudio hapa anaingia mume vile vile.


Na  Allaah  anajua  zaidi


https://ift.tt/2Fz5JYm i live islam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...