Swali: Wakati mwingine mwanamke anaweza kuhisi alama za kupata ada yake ya mwezi. Je, akihisi alama hizi za kupata hedhi aswali au asimamishe kuswali?
Jibu: Hukumu imefungamana na damu. Akitokwa na damu ndio asimamishe kuswali. Lakini midhali hajatokwa na damu yeye ni msafi. Hivyo aswali.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2U5fhUh
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni