Swali: Nafanya kazi kama mlinzi wa msikiti Ufaransa. Napitwa na swalah ya ijumaa kwa sababu ya kazi hii. Napata dhambi?
Jibu: Ikiwa yale unayoyachunga yatapotea au kuibiwa ikiwa utaondoka mahali hapo, basi unatakiwa kubaki kazini kwako kama mlinzi. Ama ikiwa huchelei hilo au akaja mtu mwengine mwaminifu akakukalia nafasi yako, hapo utawajibika kuswali swalah ya ijumaa.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2W6AM4t
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni