Swali: Kuna ndugu mmoja wiki iliopita alichukua kitabu cha ndugu yake mwingine kimakosa. Je, kuelezea kuhusu kitabu hiki msikitini ni jambo limekatazwa au hapana?
Jibu: Ikiwa kimepotea na mmiliki akatangaza kwa kusema “yule atakayepata kitabu changu kadhaa… “ jambo hili halitakikani. Ama ikiwa anaeleza kwamba alichukua kitabu cha mwingine kimakosa hakuna neno.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2Yk6woI
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni