Swali: Je, imeamrishwa kufunika matunda na mambogamboga kabla ya kulala?
Jibu: Ni jambo limewekwa katika Shari´ah kufunika vyombo vya jikoni na kutaja jina la Allaah wakati wa kufanya hivo. Hivyo ndivo inavotakiwa kufanya sawa ikiwa ni kinywaji au chakula kikavukavu. Isipokuwa tu matunda na mbogamboga zilizo na maganda yake.
Swali: Ni sawa kula chakula hicho ikiwa mtu amesahau kukifunika?
Jibu: Akisahau kufunika chakula hicho basi akipeana kwa wanyama. Asikile. Akikila basi amejifanyia vibaya juu ya nafsi yake.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2FxD6vW
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni