Translate

Alhamisi, 21 Machi 2019

Je, sungura ni halali kumla?

Swali


Ni ipi hukumu ya kula sungura kwa kuwa wapo watu wamesema kuwa anapata hedhi na hivyo haijuzu kumla?



Jibu


Sungura ni halali hata kama atapata hedhi. Imethibiti ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimla na Maswahabah wakamla. 


Kwa hivyo hakuna neno kumla. Sungura ni halali kabisa japokuwa atapata hedhi. Kuna wanachuoni waliosema kuwa anapata hedhi. 


Hata kama anapata hedhi hilo halidhuru.


NA  ALLAAH  ANAJUA  ZAIDI


https://ift.tt/2HJ6ilb i live islam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...