Swali
Je, wanyama wote wa baharini, kama mamba na nyoka wa baharini?
Jibu
Hapana, wanyama wanaoishi nchikavu na ndani ya maji hawaliwi. Wanyama wanaofaa kuliwa ni wale wanaoishi tu baharini.
Kuhusu mamba na nyoka wanaishi nchikavu na ndani ya maji si wenye kuliwa. Wanaegemea zaidi upande wa uharamu.
NA ALLAAH ANAJUA ZAIDI
https://ift.tt/2Ft64ND i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni