Swali: Inajuzu kutumia neno ´maulaana` kwa Shaykh?
Jibu: Haitakikani. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Asisemi mmoja wenu: “Ee maulaana wangu fulani! Bali Allaah ndiye maulanaa Wenu.”
Isipokuwa tu kwa bwana na yule anayemmiliki. Mtumwa anaweza kusema bwana bosi wangu. Ni sawa kwa yule ambaye ni mtumwa na mwenye kumilikiwa kulisema.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2WdKDW9
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni