Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema:
Na yote haya ni katika mambo makubwa ambayo yanakuwa ni yenye khatari na hutokea mara nyingi.
MAELEZO
Kwa nini Shaykh amechafua vichenguzi hivi pamoaj na kwamba vichenguzi ni vingi? Kwa sababu vichenguzi hivi kumi ndio ambayo hutokea mara nyingi. Kadhakika ndio yenye khatari zaidi. Amevichagua kwa sababu mbili:
Ya kwanza: Ndio vichenguzi ambavyo hutokea mara nyigni.
Ya kwanza: Ndivyo vyenye khatari zaidi.
Hali ikishakuwa hivo basi yana haki zaidi ya kuyatilia umuhimu na kutahadhari nayo.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2Cr6ouq
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni