Nina na Mume anafanya kazi Kongo lakini harudi nyumbani Mwaka wa tatu nami sikubaliani nae maana ali
Nina na Mume anafanya kazi Kongo lakini harudi nyumbani Mwaka wa tatu nami sikubaliani nae maana alikuwa anakuja kila Mwaka na hana sababu za msingi za kukaa bila mke je nn hukmu ya hii ndoa ikiwa me siridhiki na hataki kunipa talaka Je nini nifanye❓
View on YouTube
Translate
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah
إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! 20 - Isti’aadhah (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah ...
-
Dalili 18 zinazoashiria una ujauzito wa mtoto wa kiume Awali ya yote nitoe pongezi kwa mama K na Baba K wote popote walipo kwa kazi nzuri ...
-
SWALI: Assalaam alaykum Naomba maana ya majina yeyote tuwapao watoto wetu AU mnielekeze wapi naweza kupata labda katika kitabu cha fas...
-
Assallaam Aleykum WarahmatulLaah Wabarakatuh YAFUATAYO NI MAJINA YA MASWAHABA WANAWAKE (RADHI ZA ALLAAH...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni