Swali: Ni lini atakiwa kukatwa mtu wa Bid´ah?
Jibu: Mtu wa Bid´ah akiwa ni yule mwenye kuzilingania basi anatakiwa kukatwa mpaka pale atapotubu. Akiwa ni mjinga basi afunzwe. Mwanachuoni na mlinganizi mwenye taathira hawatakiwi kukatwa. Bali wanatakiwa kulinganiwa. Wasipoitikia na wakafanya ukaidi basi wanatakiwa kukatwa na kuachiliwa mbali mtu ajishughulishe na mengine na awalinganie wengine.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2B0D3WQ
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni