Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Hasbuna Allaah Wa Ni'mal-Wakiyl
Allaah Anatutosheleza Na Mzuri Alioje Mdhamini Anayetegemmewa Kwa Yote
حَسْبُنَا اللَّهُ وَنِعْمَ الْوَكِيلُ
Hasbuna-Allaahu wa Ni’-mal-Wakiyl
Allaah Anatutosheleza, Na Mzuri Alioje Mdhamini Anayetegemewa kwa yote
[Al-Bukhaariy kutoka kwa Ibn ‘Abaas: “Ameisema Ibraahiym ('Alayhis-Salaam) alipotupwa Motoni na ameisema Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) waliposema (Suwrat A’Imraan 3: 173) “Hasbuna-Allaah! (Allaah Anatutosheleza) Na Mzuri Alioje Mdhamini Anayetegemewa kwa yote.”
from Alhidaaya.com http://bit.ly/2UenBgP
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni