Ndugu zangu kaeni kwa kusongamana. Hii ndio Sunnah. Hili bila shaka ni tatizo wengi wetu tunadai kufuata Sunnah lakini hatutendei kazi kubwa katika sehemu yake. Sisi kwetu katika msikiti wa Banuu Umayyah unaweza kuona mzunguko wa kielimu, ukubwa wake, ni mkubwa kushinda nyumba hii. Ni mzunguko mkubwa wa kielimu. Mambo ni kujifakhari tu. Yote haya yanapingana na Sunnah.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2S73zHP
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni