Translate

Jumapili, 27 Januari 2019

Kumswalia mwanamke aliyekufa na hedhi msikitini

Swali: Je, mwanamke aliyekufa akiwa na hedh anaswaliwa msikitini?

Jibu: Ndio, hakuna neno. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwaswalia wanawake msikitini na wala hakuuliza.



from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2B7ZPw6
via IFTTT

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...