Translate

Alhamisi, 12 Desemba 2019

Ujenzi wa Msikiti mkubwa Afrika Mashariki unaojengwa Dar wafikia Pazuri


Balozi wa Misri, Saudia, Oman, Morocco na Comoro leo Disemba 12 wametembelea ujenzi wa Msikiti wa Mohammad wa Sita unaondelea kujengwa katika eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo Msikiti huo unajengwa kwa msaada wa mfalme wa Morocco umefikia asilimia 90.

Chanzo : Muungwana blog

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...