Translate

Jumapili, 8 Desemba 2019

006-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Kuingia Chooni


[10]
(بِسْمِ الله) اللّهُـمَّ إِنِّـي أَعـوذُ بِـكَ مِـنَ الْخُـبْثِ وَالْخَبائِث

(BismilLLaah) Allaahumma inniy a’uwdhu Bika minal khubthi wal khabaaith


(Kwa jina la Allaah) Ee Allaah najikinga kwako kutokana na mashaytwaan ya kiume na ya kike [1]



 
[1]Hadiyth ya Anas bin Maalik (رضي الله عنه) - Al-Bukhaariy, (1/45), Muslim (1/283) na ziada: ((BismiLLaahi fiy awwalihi)) Imetoka kwa Sa’iyd bin Manswur. Taz Fat-h Al-Baariy (1/244)



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...