Translate

Jumamosi, 16 Novemba 2019

Waziri Mkuchika aipongeza Wizara ya Afya


Waziri Mkuu, Waziri Mkuchika afungua Mkutano wa viongozi wa juu wa Wizara, Wabunge, na wadau wa maendeleo jijini Dodoma kujadili kuhusu masuala ya rasilimali watu katika sekta ya afya, lengo ikiwa kuibua suluhu ya changamoto zinazoikumba Sekta ya Afya ikiwemo uhaba wa watumishi.

Akifungua kikao hicho kwa niaba ya Waziri Mkuu, Waziri Mkuchika ameipongeza Wizara ya Afya kwa kuandaa kikao hicho, huku akidai kuwa kikao hicho kimefanyika muda mwafaka kwani bado changamoto ya uhaba wa Watumishi ipo katika Sekta ya Afya.

Kikao hicho cha siku moja chenye kauli mbiu inayosema ‘Uwekezaji kwa Wataalamu wa Afya ni Nguzo Muhimu ya Kupambana na Magonjwa ili Kufikia Uchumi wa Viwanda na Kipato cha Kati kimefanyika katika ukumbi wa BOT Jijini Dodoma.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...