[7]
تُبْـلي وَيُـخْلِفُ اللهُ تَعَالى
Tubliy wa YukhlifuAllaahu Ta’aalaa
Itakwisha [kwa kuzeeka na kupasuka] na Allaah Atakupa nyingine[1]
[8]
اِلبَـس جَديـداً وَعِـشْ حَمـيداً وَمُـتْ شهيداً
Ilbas jadiydan wa ’ish hamiydan wamut shahiydaa
Vaa nguo mpya, na ishi hali ya kuwa ni mwenye kushukuru, na kufa hali ya kuwa ni shahidi [2]
[1]Hadiyth ya Abu Sa’iyd Al-Khudriyy (رضي الله عنه) - Abu Daawuwd (4/41), na angalia: Swahiyh Abi Daawuwd (2/760)
[2] Hadiyth ya ‘Abdullaah bin ‘Umar bin al-Khatwaab (رضي الله عنهما) - Ibn Maajah (2/1178), Al-Baghaawiy (12/14) na taz Swahiyh Ibn Maajah (2/275)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni