[9]
بِسْمِ الله
BismiLLaah
Kwa jina la Allaah[1] (ninavua).
[1]Hadiyth ya ‘Aliy bin Abiy Twaalib na Anas bin Maalik (رضي الله عنهما) - At-Tirmidhiy (2/505) na wengineo na taz Al-irwaa Namba [50] na Swahiyh Al-Jaami’ (3/203)
إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! 20 - Isti’aadhah (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah ...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni