Translate

Jumanne, 5 Novemba 2019

002-Hiswnul-Muslim: Du'aa Ya Kuvaa Nguo


 [5]
الحمدُ للهِ الّذي كَساني هذا (الثّوب) وَرَزَقَنيه مِنْ غَـيـْرِ حَولٍ مِنّي وَلا قـوّة

AlhamduliLLaahil lladhiyy kasaaniy haadha (ath-thawb) warazaqaniyhi min ghayri hawlin minniy walaa quwwah

Himdi Anastahiki Allaah Ambaye Amenivisha nguo hii, na kuniruzuku pasina uwezo kutoka kwangu wala nguvu [1]





[1]Hadiyth ya Mu’aadh bin Anas Al-Answaariyy (رضي الله عنه) - Ahlu-Sunnan isipokuwa An-Nasaaiy. Angalia: Irwaaa Al-ghaliyl (7/47)


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...